Mbunge wa Kinondoni Mhe. Idd Azzan akisalimiana na washiriki wa Miss Utalii Tanzania Kaskazini wakati wa Mchezo wa Kirafiki Dhidi ya warembo wa Mashariki.
washiriki Miss Utalii Tanzania 2010/2011 wakila tizi katika Ufukwe wa Coco Beach jijini Dar.
Mgeni rasmi Mbunge wa Kinondoni Mh.Iddi Azzan (kulia) akiwa pamoja na Mkurugenzi wa bendi ya African Stars, Asha Baraka katika ghafla ya kukaribisha mwaka kwa wadau wa bendi hiyo..
Mh Iddi Azzan akimlisha ndafu Bw. Baraka Msiilwa wakati Da'Asha Baraka akiendelea kukata minofu huku Mama Baraka (kulia) akiweka ndafu sawa
Kikiwa kimetimia, kikosi cha Twanga Pepeta kikitumbuiza vibao vipya na vya zamani. Toka kuume ni mpiga solo mahiri Adolph Mbinga 'Chinga Boy', Rogart Hegga 'Katapilla', Lwiza Mbuttu, Hamisi Amigoras. Janeth Isinika
Vijana wa THT wakiburudisha usiku huu kwenye sherehe za miaka mitano ya Tanzania House of Talent ukumbi wa Mlimani City jijini Dar
Da'Kemi akimuogoza Mgeni Rasmi Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dr Emanuel Nchimbi wakati wa kuingia ukumbini usiku huu kwa kwa ajili ya kuhudhuria maadhimisho ya miaka 5 ya THT akiwa ameambatana na Mkurugenzi wa utamaduni Prof Hermus Mwansoko.
Jeneza lenye mwili wa marehemu likipelekwa makaburini Magomeni
Umati mkubwa wa wanamuziki, wapenzi wa muziki,
Umati mkubwa wa wanamuziki, wapenzi wa muziki,
Umati mkubwa wa wanamuziki, wapenzi wa muziki,| Marehemu Mustafa Ngosha |