kuu na wa Mahakama ya Rufaa katika hafla hiyo
Tuesday, December 28, 2010
MHE.JAKAYA MRISHO KIKWETE AMUAPISHA JAJI MKUU MPYA.
kuu na wa Mahakama ya Rufaa katika hafla hiyo
MH.IDDI AZZAN ALA KIAPO CHA UTII, BUNGENI DODOMA
Mhe.Iddi Azzan akipewa pongezi na mmoja wa jamaa zake na baadhi ya wanachi walio kuwepo bungeni
Mmoja wa viongozi wa chama cha CCM akimvisha taji Mhe.Iddi Azzan baada ya kumaliza kula kiapo cha kulitumikia taifa.
Mhe.Waziri Mkuu Mizengo pinda na Mhe.Iddi Azzan wakipiga picha ya pamoja na wananchi baada ya kumaliza kula kiapo cha kulitumikia taifa.
Mhe.Iddi Azzan akipokea mkono wa pongezi.
Baadhi ya viongozi wa chama cha CCM wakipiga picha ya pamoja na Mhe.Mbunge Iddi Azzan.
Mhe.Iddi Azzan akiwa na kijjana wake Ahmed.
Mhe.Iddi Azzan akipiga picha ya pamoja na baadhi ya wananchi.
Tuesday, December 14, 2010
MHE: JAKAYA MRISHO KIKWETE AKABIDHIWA KOMBE LA CECAFA NA KILIMANJARO STAR.
Rais Jakaya Kikwete akiwa ameshikilia Kombe la Chalenji baada ya kukabidhiwa na wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania Bara `Kilimanjaro Stars` aliowaalika ikulu jijini Dar es Salaam.

kilimanjaro star wakishangilia baada ya kukabidhiwa kombe la challengi cup.

kilimanjaro star wakishangilia baada ya kukabidhiwa kombe la challengi cup.

Thursday, December 2, 2010
ASAFIRI KWA BAISKELI GEITA-DAR, KUMPONGEZA RAIS MH:JAKAYA KIKWETE!
Rais Dk. Jakaya Kikwete, akimkaribisha Ikulu jijini Dar es Salaam, Mussa Lunyeka, kutoka kijiji cha Chabulongo, Kata ya Kasamwa, Geita, wakati alipowasili Ikulu kumpongeza Rais kwa kushinda katika uchaguzi mkuu mwaka huu. Kijana huyo mkulima, aliyesafiri kwa baiskeli kutoka Geita kuja Dare s Salaam, alipata wasaa wa kuzungumza na Rais Kikwete ambaye alimpongeza kwa moyo wake wa uzalendo na kuahidi kumpatia msaada wa kuboresha shughuli zake za kilimo.
Friday, November 19, 2010
MHE.IDDI AZZA NDANI YA BUNGE
Mh.Iddi Azzan akiwa na Mhe.Steven Wasira wakibadilishana mawazo nje ya ukumbi wa bunge.
Mhe.Iddi Azzan akiwa nje ya ukumbi wa bunge na baadhi ya Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi baada ya kwisha kuapishwa.
Mhe.Iddi Azzan akiwa na kijana wake Ahmed Nje ya Kumbi wa Bunge kabla ya kwenda kuapishwa.
Mhe.Iddi Azzan akimpongeza Mama Anne Makinda baada ya Kuchaguliwa Kugombania nafasi ya Uspika kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi.
Tuesday, November 2, 2010
MHE.IDDI AZZAN ASHINDA KWA KISHINDO JIMBO LA KINONDONI.
Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi akimkabidhi Cheti Mhe.Iddi Azzan Cha Kuthibitisha kuwa yeye ndio mshindi wa Ubunge Jimbo hilo la Kinondoni. kwa idadi ya kura 51,372, wa pili CHADEMA kwa kura 27,355 wa tatu CUF kwa kura 22,660 na wanne Dp kwa kura 210.
Mhe.Iddi Azzan akiwapa Mikono Viongozi wa Tume ya Uchaguzi
Wana CCM na Wananchi wakisikiliza matokeo ya Uchaguzi wa Jimbo la Kinondoni.
Mhe.Iddi Azzan akiwa amesimama pamoja na watu wake wakaribu wakisubiri kusikiliza matokeo ya Jimbo hilo.
Sunday, October 31, 2010
MHE.IDDI AZZAN AKIPIGA KURA, HUKU ZOWEZI LA KUPIGA KURA LIKIENDELEA VIZURI KATIKA MAENEO MBALIMBALI, DAR ES SALAAM.
Mhe.Iddi Azzan Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni kupitia tiket ya CCM akiwasili katika kituo cha kupigia cha kura katika shule ya msingi ya Alhassan Mwinyi.
Msimamizi wa kituo cha kupiga kura akimuonyesha Mhe.Iddi Azzan Jina lake.
Mhe.Iddi Azzan akifuata taratibu za upigaji kura akionyesha kadi yake ya kupiga kura kwa Msimamizi.
Msimamizi akimkabidhi karatasi za kupigia kura Mhe.Iddi Azzan Mgomba Ubunge Jimbo la Kinondoni.
Mgombea Ubunge Mhe.Iddi Azzan akipiga kura yake kwenye chumba maalum kilicho andaliwa kwa kazi hiyo ya upigaji wa kura.
Akitumbukiza kura yake kwenye Sanduku jeupe ambalo ni la Diwani.
Akitumbukiza kura yake kwenye sanduku Jeusi ambalo ni la Rais.
Msimamizi akimpaka wino Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni.
Watu wakionekaniwa kwenye hali ya utulivu katika kituo cha kupiga kura kilichopo Sinza "A"
KILELE CHA KAMPENI CHAFIKIA MWISHO HUKU MHE.DK JAKAYA KIKWETE AKIFUNGA KAMPENI ZAKE VIWANJA VYA JANGWANI.






Rais Mstaafu Mh. Benjamin Mkapa akiwa na mawaziri wakuu wastaafu Dk. Salim Ahmed Salim, Mh. Joseph Sinde Warioba na Mgombea mwenza wa JK , Dk. Mohamed Ghalib Bilal


Friday, October 29, 2010
MHE.IDDI AZZAN AFUNGA KAMPENI ZAKE KIGOGO.
Mhe.Iddi Azzan akiwahutubia Wananchi wa Kigogo wakati wa kufunga kampeni zake katika kata hiyo,akiendelea kunadi sera zake ikiwa ni kuendeleza kuleta maisha bora kwa kwata hiyo, akiwaomba Wananchi kufanya uchaguzi sahihi kwa kuwapigia kura viongozi wa CCM kuanzia Urais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete, Ubunge Mhe.Iddi Azzan kwa Jimbo la Kinondoni na Diwani wa Kata Hiyo Ndugu Chambuso.
Mgombea Ubunge Mhe.Iddi Azzan akimdani Mgombea Udiwani wa kata ya kigogo Ndugu Chambuso kwa niaba ya Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete.
Mhe.Iddi Azzan akimkabidhi kadi ya CCM bibi ambaye ameamua kujiengua chama cha Wananchi CUF.
Mhe.Iddi Azzan akiomba ridhaa kwa Maelfu ya Wananchi waliohudhuria katika Mkutano wake wa Kufunga Kamepeni katika kata ya Kigogo.
Mhe.Iddi Azzan akijadili kitu na ndugu Ahmed Zein ambaye ni kada wa CCM pamoja na Diwani wa Kata ya Kigogo Ndugu Chambuso.
Mmoja wa wanachama wa CCM akiwa anasikiliza kwa makini sera za mgombea Mhe.Iddi Azzan
Mmoja wa wanachama wa CCM akiwa anasikiliza kwa makini sera za mgombea Mhe.Iddi Azzan
Wananchi wakisikiliza kwa makini sera za Mhe.Iddi Azzan
Subscribe to:
Posts (Atom)