MHE.JAKAYA MRISHO KIKWETE AMUAPISHA JAJI MKUU MPYA.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Jaji Mohamed Chande Othman kuwa Jaji Mkuu kuchukua nafasi ya Jaji Mkuu anayemaliza muda wake Mh. Augustino Ramadhani katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar-es-salaam. Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Jaji Mkuu mpya na Majaji wa Mahakama kuu na wa Mahakama ya Rufaa katika hafla hiyo Mhe.rais Jakaya Kikwete akimpongeza Jaji Mkuu mpya baada ya kumuapisha.
No comments:
Post a Comment