Friday, November 19, 2010

MHE.IDDI AZZA NDANI YA BUNGE

Mh.Iddi Azzan akiwa na Mhe.Steven Wasira wakibadilishana mawazo nje ya ukumbi wa bunge.
Mhe.Iddi Azzan akiwa nje ya ukumbi wa bunge na baadhi ya Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi baada ya kwisha kuapishwa.
Mhe.Iddi Azzan akiwa na kijana wake Ahmed  Nje ya Kumbi wa Bunge kabla ya kwenda kuapishwa.
Mhe.Iddi Azzan akimpongeza Mama Anne Makinda baada ya Kuchaguliwa Kugombania nafasi ya Uspika kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi.







Tuesday, November 2, 2010

MHE.IDDI AZZAN ASHINDA KWA KISHINDO JIMBO LA KINONDONI.

Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi akimkabidhi Cheti Mhe.Iddi Azzan Cha Kuthibitisha kuwa yeye ndio mshindi wa Ubunge Jimbo hilo la Kinondoni. kwa idadi ya kura 51,372, wa pili CHADEMA kwa   kura 27,355 wa tatu CUF kwa kura 22,660 na wanne Dp kwa kura 210.
Mhe.Iddi Azzan akiwapa Mikono Viongozi wa Tume ya Uchaguzi
Wana CCM na Wananchi wakisikiliza matokeo ya Uchaguzi wa Jimbo la Kinondoni.
Mhe.Iddi Azzan akiwa amesimama pamoja na watu wake wakaribu wakisubiri kusikiliza matokeo ya Jimbo hilo.