Tuesday, December 28, 2010

MHE.JAKAYA MRISHO KIKWETE AMUAPISHA JAJI MKUU MPYA.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Jaji Mohamed Chande Othman kuwa Jaji Mkuu kuchukua nafasi ya Jaji Mkuu anayemaliza muda wake Mh. Augustino Ramadhani katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar-es-salaam.
Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Jaji Mkuu mpya na Majaji wa Mahakama
kuu na wa Mahakama ya Rufaa katika hafla hiyo
Mhe.rais Jakaya Kikwete akimpongeza Jaji Mkuu mpya baada ya kumuapisha.

MH.IDDI AZZAN ALA KIAPO CHA UTII, BUNGENI DODOMA

Mhe.Iddi Azzan akipewa pongezi na mmoja wa jamaa zake na baadhi ya wanachi walio kuwepo bungeni
 Mmoja wa viongozi wa chama cha CCM akimvisha taji Mhe.Iddi Azzan baada ya kumaliza kula kiapo cha kulitumikia taifa.
 Mhe.Waziri Mkuu Mizengo pinda na Mhe.Iddi Azzan wakipiga picha ya pamoja na wananchi baada ya kumaliza kula kiapo cha kulitumikia taifa.
 Mhe.Iddi Azzan akipokea mkono wa pongezi.
 Baadhi ya viongozi wa chama cha CCM wakipiga picha ya pamoja na Mhe.Mbunge Iddi Azzan.
Mhe.Iddi Azzan akiwa na kijjana wake Ahmed.
Mhe.Iddi Azzan akipiga picha ya pamoja na baadhi ya wananchi.













Tuesday, December 14, 2010

MHE: JAKAYA MRISHO KIKWETE AKABIDHIWA KOMBE LA CECAFA NA KILIMANJARO STAR.




Rais Jakaya Kikwete akiwa ameshikilia Kombe la Chalenji baada ya kukabidhiwa na wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania Bara `Kilimanjaro Stars` aliowaalika ikulu jijini Dar es Salaam.

kilimanjaro star wakishangilia baada ya kukabidhiwa kombe la challengi cup.

capten masajigwa na kocha mkuu wa kilimanjaro star wakikabidhiwa cheque ya dolla elfu 30,000 baada ya kutwaa ubingwa wa challeng cup, Kilimanjaro Star akiwa mwenyeji wa mashindano hayoo.

Thursday, December 2, 2010

ASAFIRI KWA BAISKELI GEITA-DAR, KUMPONGEZA RAIS MH:JAKAYA KIKWETE!



Rais Dk. Jakaya Kikwete, akimkaribisha Ikulu jijini Dar es Salaam, Mussa Lunyeka, kutoka kijiji cha Chabulongo, Kata ya Kasamwa, Geita, wakati alipowasili Ikulu kumpongeza Rais kwa kushinda katika uchaguzi mkuu mwaka huu. Kijana huyo mkulima, aliyesafiri kwa baiskeli kutoka Geita kuja Dare s Salaam, alipata wasaa wa kuzungumza na Rais Kikwete ambaye alimpongeza kwa moyo wake wa uzalendo na kuahidi kumpatia msaada wa kuboresha shughuli zake za kilimo.