Mhe.Iddi Azzan akipewa pongezi na mmoja wa jamaa zake na baadhi ya wanachi walio kuwepo bungeni
Mmoja wa viongozi wa chama cha CCM akimvisha taji Mhe.Iddi Azzan baada ya kumaliza kula kiapo cha kulitumikia taifa.
Mhe.Waziri Mkuu Mizengo pinda na Mhe.Iddi Azzan wakipiga picha ya pamoja na wananchi baada ya kumaliza kula kiapo cha kulitumikia taifa.
Mhe.Iddi Azzan akipokea mkono wa pongezi.
Baadhi ya viongozi wa chama cha CCM wakipiga picha ya pamoja na Mhe.Mbunge Iddi Azzan.
Mhe.Iddi Azzan akiwa na kijjana wake Ahmed.
Mhe.Iddi Azzan akipiga picha ya pamoja na baadhi ya wananchi.
Habari..!!
ReplyDeleteHivi huyo kijana wako primary alisoma mzimuni..??
Maana nakumbuka niliwahi kusoma na mtu kama huyo ila nimesahau jina lake pale mzimuni ila alikuwa anakaa mt.mwinyimkuu kama sitakosea..??
Mustapha Hanya.