Monday, August 12, 2013

TNG YATAMBULISHA SINGLE YAO MPYA

 Kundi la TNG la muziki wa bongo fleva nchini wakijiandaa kupanda jukwaani kwa ajili ya kutambulisha nyimbo yao mpya iliyokwenda kwa jina la 'Crazy Love katika ukumbi wa Dar Live jijini Dar es Salaam siku ya Idi Mosi

 Msanii anayeunda kundi la TNG Chiwaman (kulia) akiwa sambamba na kiongozi wa kundi la Wanaume family pamoja na Rose Ndauka ambaye ameshirikishwa kwenye nyimbo ya Crazy Love ambayo ilitambulishwa usiku huoNo comments:

Post a Comment