Baadhi ya warembo wanaoshiriki katika shindano la Vodacom Miss Tanzania wakianza mbio za magunia wakati wa michezo ya Miss Tanzania Sports Day inayofanyika kwenye ufukwe wa Jangwani Sea Breeze Kunduchi shindano hilo litafanyika Septemba 11 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.
Baadhi ya Warembo wakikimbia na magunia katika michezo ya Miss Tanzania Sports Day inayofanyika leo kwenye ufukwe wa Jangwani Sea Breeze.
Albert Makoye Mkuu wa Itifaki Kamati ya Miss Tanzania akiwapa warembo utaratibu wa kujisajili kwa ajili ya michezo ya Vodacom Miss Tanzania Sports Day.
Warembo wakiwa wamekaa tayari kwa kurekodi kipindi maalum kwa ajili ya shindano hilo leo kwenye ufukwe wa Jangwani Seabreeze.
No comments:
Post a Comment