Monday, September 6, 2010

MH:JAKAYA MRISHO KIKWETE AKIWASILI MKOANI MOROGORO.

Mh: Jakaya Mrisho Kwikete Akishuka Helkopta na kuwapungia mkono wananchi waliokwenda kumpokea Mkoani Morogoro kuelekea kwenye kampeni zake za Uraisi.

Mh: Kikwete akihutubia wananchi kwenye mkutano wa kampeni zake za uraisi Uwanja wa Jamhuri, Mkoani Morogoro.

No comments:

Post a Comment