Wednesday, September 8, 2010

MH: IDDI AZZAN AKIENDELEA KUINADI ILANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI KWA WANACHAMA WAKE.

Mh: Iddi Azzan Mgombea Ubunge katika Jimbo la kinondoni kupitia Chama Cha Mapinduzi akiinadi ilani ya chama hicho kwa wanachama wake wa kata ya Mwananyamala. alieleza kuwa Chama Chama Mapinduzi ni chama ambacho kinapendwa na watu wote, hii inatokana na Umoja wake na mshikamano uliokuweko katika chama hicho. kwani kuna kauli inayosema "Umoja ni nguvu na utengano ni Udhaifu". akiwataka wanachama wote kuwa kitu kimoja ili chama hicho kiendeleze nguvu yake ile ile na kuhakikisha October 31 wanachukua viti vyote, kuanzia Udiwani, Ubunge na Urais. Mkutano huu ulifanyika Offisi ya Kata ya Mwanayamala. Siku ya Jumanne.
Mh: Iddi Azzan Akiwa katika Meza kuu pamoja na mwenyekiti na wajumbe wengine katika mkutano wandani wa chama cha CCM uliofanyika katika ofisi ya kata ya Mwanayama (Mwinjuma).   
 
  

No comments:

Post a Comment