Thursday, September 9, 2010

MH: MAMA SALMA KIKWETE ATOA HAMASA KWA WAKINA MAMA JIMBO LA KINONDONI NA UBUNGO

Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete Sept,9,2010 katika majimbo ya uchaguzi ya Kinondoni,Ubungo na Kawe katika mkoa wa Dar es Salaam kwa ajili ya kuwahamasisha wanachama wa Jumuiya ya Wanawake nchini (UWT) kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu ifikapo Oktoba 30 mwaka huu

Mh: Mama Salma akidunda na Mgombea Ubunge....Iddi Azzan
Mh: Mama Salma Kiwete akiwanadi wagombea Wabunge na kuwaombea kura za "NDIO"
Mh:Iddi Azzan akijiombea kura na kumshukuru Mama salma Kikwete kwa hamasa zake kwa kina mama (UWT)

Mh: Mama Salma akiwanadi Madiwani wa kata mbalimbali

No comments:

Post a Comment