Monday, October 18, 2010

JK AKUBALIKA KAWE


JK akimnadi mgombea ubunge wa CCM jimbo la Kawe Mhe. Angela Kizigha katika mkutano wake wa kampeni uliofanyika viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar.

JK akimnadi Ndugu. Othman, mgombea udiwani kata ya Kawe
JK akihutubia maelfu ya wananchi Kawe.Jijini Dar.
JK akijiandaa kumkabidhi Mh. Fatma Maghimbi kadi ya CCM baada ya kutangaza kujiengua chama cha wananchi CUF katika mkutano wa kampeni katika viwanja vya Tanganyika Packers vya Kawe.
JK akimkabidhi kadi ya CCM Mh. Juma Othman Juma
ambaye pia alitangaza kujiengua CUF.
Wah. Juma Othman Juma na Fatma Maghimbi wakifurahia kujiunga na CCM.
Mwenyekiti wa kampeni wa CCM Mh. Abdulrahman Kinana
akimpongeza Mh. Juma Othman Juma kwa kujiunga na CCM

Msanii Diamond akiburudisha umati huo wa wananchi wa kawe.
Mhe.Angela Kizigha akisalimiana na baadhi ya wagombea waliohudhuria mkutano huo, akiwemo Mhe.Iddi Azzan Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni (kulia kwenye Picha)

Watu walikuwa Nyomi hapatoshi.

No comments:

Post a Comment