Monday, October 18, 2010

JK NDANI YA MANZESE KUMPAISHA HAWA NG'HUMBI.

 Jk akihutubia Manzese, aliwaomba wananchi wa Manzese wakipe kura chama cha Mapinduzi kwa kiwa ni chama chenye kuleta maendeleo.
Jk akimnadi Mgombea wa CCM Jimbo la Ubungo  Mhe.Hawa Ng'humbi katika mkutano wake wa kampeni uliofanyika Manzese viwanja vya Bakhresa.
Jk akimnadi Mgombea Udiwani  wa CCM wa kata ya Manzese kwa niaba ya Madiwani wote wa Jimbo hilo la Ubungo.
Jk akisalimiana na Madiwani wa jimbo Hilo la Ubungo wa kati wa Mkutano wake wa kampeni uliofanyika Manzese viwanja vya bakhresa.
Manzese kulifurika watu kumsikiliza Jk.
Kulikuwa hapatoshi
Jk akiwapa mkono wa salamu wananchi wa Manzese 

No comments:

Post a Comment