Tuesday, October 12, 2010

MH.IDDI AZZAN AHUDHURIA MAZISHI YA ABDALLAH RAMADHANI

Kituo cha Televisheni cha Channel TEN na Redio ya Magic FM cha jijini Dar es salaam kimepata msiba kwa kuondokewa na mmoja wa watangazaji wake mahiri na vijana, Abdallah Ramadhani (Pichani) ambaye amefariki dunia katika ajali ya gari Ijumaa wiki hii.

Mh.Iddi Azzan pamoja na kuhudhuria msiba huo anatoa pole kwa Wazazi wake na kwa wote wanaohusika na msiba huo. "Mungu ailaze roho yake mahalipema peponi Amen"

No comments:

Post a Comment