Shina lililofunguliwa na Mhe.Iddi Azzan kabla ya kuelekea kwenye mkutano wake wa kampeni
Mhe.Iddi Azzan akipandisha bendera la shina hilo ili kuanza kupepea kuashiria kuwa lemefunguliwa rasmi
Shina la pili kufunguliwa na Mhe.Iddi Azzan
Mhe.Iddi Azzan akionekaniwa mwenye furaha baada ya kufungua Shina hilo ikiwa amefuatana na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi, Mbele ya yake ni Mzee dalali akishuhudia Ufunguzi huo.
No comments:
Post a Comment