Tuesday, October 12, 2010

MH.IDDI AZZAN AKUTANA NA UMOJA WA KINAMAMA, HANANASIF

Mh.Iddi Azzan akiwahutubia wakinamama wa UWT wa kata ya hananasif baada ya kumualika katika mkutano huo wa ndani uliofanyika katika kata hiyo. aliwataka wakina mama hao kusahau yaliopita na kujenga yajao ilikufanikisha chama cha mapindzui kinashinda katika ngazi zote tatu.

Pia aliwaambia kuwa matatizo yao yatashughulikiwa pindi atakapo pata nafasi ya Ubunge kwa mara ya pili tena. aliwaambia kuwa kwa sasa kuna sacos ambazo zimeanzishwa ili kuwasaidia wakinamama kuweza kujiunua kimaisha na kupata misingi bora ya maendeleo.


Mwisho aliwaomba wa chague mafiga matatu ikiwa nafasi ya Urais Mh.Jakaya Mrisho kikwete, nafasi ya Ubunge Mh.Iddi Azzan ni yeye mwenyewe na nafasi ya Udiwani Ndugu Tarimba Abbas kwa kata hiyo.
Mh.Iddi Azzan akiwa amesimama mbele ya meza kuu akiwapa sera wakina mama wa UWT.
Mh.Iddi Azzan akiwa anajibu maswali ya kina mama baada ya kuulizwa
 Wakinamama wa UWT wakisikiliza kwa makini.
Wakinamama wa UWT kata ya hananasif walijaa ukumbini kwa ajili ya kumsikiliza Mh.Iddi Azzan
UWT wakiwa katika ukumbi wa mkutano wa ndani waliomualika Mh.Iddi Azzan.
Mh.Iddi Azzan akipiga picha na wajumbe UWT waliohudhuria mkutano.
Wajumbe wa UWT waliohudhuria mkutano wa ndani wa kata ya Hananasif wakipat picha ya pamoja na Mh.Iddi Azzan.
Wajumbe wa UWT wakipata picha ya pamoja na Mh.Iddi Azzan baada ya kumaliza mkutano.
Mmoja wa Wajumbe UWT akimwambia kitu Mh.Iddi Azzan wakati akitoka kwenye mkutano.
Mh.Iddi Azzan akiwa amesimama akisalimina na mtoto mdogo aliyebebwa na mama huyo. baada ya kumaliza mkutano

No comments:

Post a Comment