Friday, October 22, 2010

MHE.IDDI AZZAN AITINGISHA KATA YA MZIMUNI

Mhe.Iddi Azzan akimnadi Mgombea Udiwani wa kata ya Mzimuni Ndugu Chambuso Mohammed.

Mgombea Udiwani wa Kata ya Mzimuni Ndugu Chambuso Mohammed akitoa sera zake wakati wa kampeni zilizofanyika katika viwanja vya Mzimuni.

Mohamed Chipukizi akioa sera za kuwanadi wagombea.

 Mhe.Iddi Azzan akisalimiana na Mmoja wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wakati alipowasili kwanye uwanja wa kampeni.

Mwenyekiti wa Jimbo la Kinondoni Mzee Sisiyamoto akimkaribisha Mgombea ubunge wa Jimbo hilo la Kinondoni kwenye uwanja wa kampeni.

Meza kuu wakiwa wanasikiliza kwa makini sera za Wagombea.

 Mzee wamipango Mng'ombe akiemuelekeza kitu mmoja wa wanachama.

 kulikuwa hapatoshi

 kulifurika watu

 Umati wa watu wakisikiliza kwa makini.

 hakukaliki kwa nyomi ya watu.

 Watoto nao wanaikubaki CCM

No comments:

Post a Comment