Saturday, October 9, 2010

TAIFASTAR YA PIGWA GOLI MOJA KWA BILA NA MOROCcO.

 
                     Tanzania                                     Morocco 
Mheshimiwa Rais, Dr Jakaya Mrisho kikwete akitoka kukagua team zote mbili.
Mheshimiwa Rais, Dr Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mkono Watanzani baada ya kumaliza kukaguwa team ya Taifastar na Morocco
Wachezaji wa Morocco wakiingia uwanjani kupasha viungo vyao,mchezaji wa kulipwa Chamakh mwenye bendej katika shingo ambaye anachezea team ya kulipwa Arsenal iliyopo ligi kuu ya Uingereza maarufu Barclays Premier League ndio aliyetoa pande la goal lilofungwa na mchezaji mwenzie katika kipindi cha kwanza. Mechi iliisha moja bila ikiwa Morocco ndio mshindi wa mechi hiyo ya kufuzu kushiri mashindano ya Afrika.
Wachezaji wa Taifastar wakiingia uwanjani kujiweka sawa na Mechi ya kufuzu mashindano ya Afrika waliyocheza na team ya Taifa ya Morocco katika uwanja wa Taifa wa Tanzania, jijini Dar es salaam
Mheshimiwa Rais, Dr Jakaya Mrisho kikwete akiwa amesimama kwa ajili ya wimbo wa Taifa.

Shadrack Msajigwa akijaribu kumpita beki wa Morocco, Soulaiman Richid.

Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Danny Mrwanda (kushoto) akimtoka beki wa Moroco, Basse Michael.
Golikipa wa timu ya Atlas Lions ya Morocco, Lamyaghiri Nadir akipangua mpira.
Kocha wa team ya Taifa ya Tanzania akiingia uwanjani tayati kwa mpambano zidi ya Morocco.
Ahmed Zein kijana Mzalendo mpenda nchi yake akiwa amefika uwanjani na kusubiri mechi kati ya Tanzania na Morroco.
Mashabiki wa Tanzania wakionekaniwa wanyonge baada ya kufungwa goal moja na Morocco.
Mh.Iddi Azzan akiwa juu ya jukwaa kuu akiangalia mpira kati ya Tanzania na Morocco.
 Mashabiki wa Tanzania wakiwa wanasubiri kuondoka uwanjani hapo.
Mh.Iddi Azzan akiwa amesimama nje ya lango la kuingila pamoja na Ahmed Mgoya amabaye ni mmoja wa watu wa shirikisho la  soka la TTF pamoja na Mohammed Ahmed ambaye ni shabiki wa Taifastar.
Mh.Iddi Azzan akiwa na Ahmed Zein pamoja na Ahmed Mgoya nje ya lango la kuingilia uwanja wa Taifa wa Tanzania jiji Dar-es-salaam.
 Mh.Iddi Azzan akishuka ngazi pamoja na mashabiki wengi baada ya mechi kuisha.
Kijana Macdonald akiwa amesimama nje ya mlango mkubwa baada ya kutoka uwanjani. 
Marafiki wa muda mrefu wakiwa wamesimama nje ya uwanja baada ya kukutana na Ahmed Zein.
Mh.Iddi Azzan Akiwa nje ya uwanaja na kupata na mashabiki wa Taifastar.
Mh.Iddi Azzan katikati akiwa amezungukwa na mashabiki wa team ya Taifa nje ya uwanja baada ya mechi kuisha.
Mashabiki wa team ya Taifa wakiwa wanajadili matoke baada ya mechi kusha.
Mashabiki wakiwa wanatoka uwanjani.
Macdonald akiwa pamoja na Zein nje ya uwanja wakisubiri usafiri

No comments:

Post a Comment