Mh.Iddi Azzan azinduwa shina la wakereketwa kabla ya kwenda katika mkutano wa kamepeni,aidha aliwaambia wanachama wa shina hilo kuwa yale yote yaliokuwa yameandikwa katika risala yao atayafanyia kazi.
Mh.Iddi Azzan akifungua kitambaa kuzindua shina la wakereketwa la El-nafasi
Mh.Iddi Azzan akipandisha pendera ya Chama Cha Mapinduzi kulipeperusha Shina hili la El-nafasi.
Mmoja wa wanachama wa Shina hilo la wakereketwa akisoma risala fupi mbele ya Mh.Iddi Azzan.
Mh.Iddi Azzan akipiga picha ya pamoja na wanachama wa Shina Hilo na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi ili kuweka kumbukumbu.
Mh.Iddi Azzan akitembea kwa miguu na vikundi vya hamasa kuelekea kwenye Mkutano wa Kampeni Uliopo Mtaa wa Idrisa.
No comments:
Post a Comment