Monday, October 18, 2010

JK AZINDUWA SHINA LA WAKEREKETWA LA MZEE RASHID MFAUME KAWAWA,MAGOMENI

Mhe.Dr Jakaya Mrisho kikwete akifungwa Shina la Wakereketwa la Mzee Rashid Kawawa (Simba wa Vita) katika Kata ya Magomeni. 
Jk akipiga makofi baada ya kulifungua shina hilo lililopo kata ya Magomeni
Jk akipandisha bendera ya Chama Cha Mapinduzi baada ya kulifungua shina la Mzee Rashid Kawawa, Magomeni.
Mhe.Jk akieleweshana kitu na Mhe.Iddi Azzan pamoja na Mweyekiti wa Shina la Mzee rashid kawawa.
Mwenyekiti wa kampeni wa CCM Mh. Abdulrahman Kinana akiwa anzungumza na Mgombea ubunge wa Jimbo la kinondoni Mhe.Iddi Azzan. wakati wa Kumsubiri kumpokea Mhe.Jakaya Kikwete kwa ajili ya ufunguzi wa Shina la wakereketwa la Mzee Rashid Kawa (Simba wa Vita)
Mzee Dalali akiwa pamoja na Ahmed Zein katika kushuhudia ufunguzi wa shina la Mzee Rashid Kawawa kata ya Magomeni.
Issa Michuzi Mzee wa Mablog (Kushoto) akiwa na Ahmed Zein kwenye Ufunguzi wa Shina la Mzee Rashid Kawawa.

No comments:

Post a Comment