Monday, October 11, 2010

MH.IDDI AZZAN AWATAKA KATA YA MAKUMBUSHO, KISIWANI KUTOFANYA MAKOSA.

Mh.Iddi Azzan akiwa juu ya jukwaa kueleza ilani ya chama cha Mapinduzi kwa wananchi wa kata ya Makumbusho, aliwaambia kuwa enehilo la kisiwani lipo katika mpango wa kuboreshwa kwa msaada wa world bank. ambao unatarajiwa kuanza hivi karibuni. Pia aliwaomba kutofanya makosa tarehe 31, wa hakikkishe wanachagua mafiga matatu Urais,Ubunge na Udiwani wote watoke CCM.
Mh.Iddi Azzan akiwa juu ya jukwaa akitoa sera zake za chama cha Mapinduzi katika kata ya Makumbusho, mkutano uliofanyika katika viwanja vya kisiwani.
Mgombea Ubunge Jimbo la kinondoni Mh.Iddi Azzan akimnadi Mgomba Udiwani wa kata ya Makumbusho Ndugu Mutayoba. mkutano ulifanyika Makumbosho Kisiwani
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni Mh.Iddi Azzan akiwasalimia wananchi wa kata ya Makumbusho Kisiwani.
Ndugu Mutayoba Mgombea Udiwani kata ya Makumbusho akiwasalimia wananchi.
Viongozi wachama na Makada wa CCM wakisikiliza sera za Wagombea kwa makini zaidi katika kata ya Makumbusho,Kisiwani.
Wana CCM na Wananchi wa kata ya Makumbusho Kisiwani wakiwa katika Mkutano wa kampeni wa Mgombea Ubunge Mh.Iddi Azzan na Mgombea Udiwani Ndugu Mutayoba.
 Wananchi wakisikiliza sera za ilani ya chama cha Mapinduzi.
Wananchi na Wana CCM waki sikiliza kwa makini.

No comments:

Post a Comment